欢迎您 本站地址:
复制网址
手机查看
切换背景
返回首页
返回外语学习
斯瓦希里语-在线学习-在线点读-小库网
我可以试一下这个吗?
Naweza kujipima?
试衣间在哪里?
Wapi chumba kubadilisha?
大码
Kubwa
中码
Ya kati
小码
Ndogo
我穿大码的
Navaa saizi kubwa
你们有大一码的吗?
Je, una saizi kubwa zaidi?
你们有小一码的吗?
Je, una saizi ndogo zaidi?
太紧了
Hii inabana sana
穿着刚刚好
Inanifaa vizuri
我喜欢这件衬衫
Napenda hii shati
你们有雨衣卖吗?
Unauza makoti ya mvua?
可以让我看一下那几件衬衫吗?
Unaweza kunionyesha baadhi ya mashati?
这个颜色不适合我
Rangi hainipendezi
你们有同款其他色的吗?
Je, unayo katika rangi nyingine?
泳衣在哪里?
Ni wapi naweza kupata nguo ya kuogelea?
我可以看一下那块手表吗?
Unaweza kunionyesha saa?
立即登陆
注册账号
上一页
返回列表
返回首页
下一页
小库提示
扫描下方二维码,访问手机版。
打赏
关闭